Lyrics

Ah, yeah, what'sup? In da house Yeah, what'sup? Ah, ah, 'Zila in da house Oh ('Zila in da) Chali in da hause 'Zila in house Welcome to ma hood men Yeah, what'sup? Mtaani tunaishi kama maninja Ukizingua dakika mbili washakunjinja (eh, eh) Kuna mabrazem pia mapedeshee Kwenye kona pale stand kuna internet cafe Ma-hardcore wamejazana usiseme Allstars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme Maisha kuwindana sio peace kama heaven Machizi wanatafutana na ma-AK47 Kuishi kufanyiana sio kuwekeana vitisho Ni swala la kawaida kusikia milio ya pistol Uwa namshukuru Mungu kila siku inapokwenda Na haiwezi kupita siku bila kuibukiwa na defender Watu wa huku toka zamani wanaroho za kimasta Kila siku ni skendo nyumba za watu zimepigwa chata Ma-hustler ndo wanaishi ki-vip Waliokufa nigga tushawapa R.I.P Kila siku watu busy kama NYC Hatuna back kwenye hood kama G-Ally Salasala nigga is my hood for show Ni place ambayo sijawahi kuwa before (whatsup?) Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh) Karibu kwenye 'Zila kingdom Hata kama show free (yeah) nita-perfom West side salasala is the hood that I'm from (whoa) Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh) Karibu kwenye 'Zila kingdom Hata kama show free (yeah) nita-perfom West side salasala is the hood that I'm from (whoa) West-side ipo ndani wilaya ya Kino' Kuna ma-hustler wenye roho mbaya kama walatino True story men (na) wala sio vitisho Njoo muone 'Zila anavyo-smoke kwa kiko Njoo kwa hekima nakupa tahadhari Kila chochoro ukipita wanacheza kamari Kuna wakabaji wanapiga ngumi kama bondia Deal zote utapata mpaka pesa bandia Kuna wamama madada na masista doo Ukiwacheki kwa mguu wana Godzilla tattoo Na mavazi ya kinyamwezi kama tupo majuu Ukitaka beef mtu mbili it means me and you Kwa njia za shotcut (what?) Watu wanapata mkwanja Ukiona wana mabegi ujue ndani yamejaa - Masela hawaishii kuvuta fegi Albams zinnaenda sokoni hatuzii tapes kwenye begi (whats'up?) Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh) Karibu kwenye 'Zila kingdom Hata kama show free (yeah) nita-perfom West side salasala is the hood that I'm from (whoa) Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh) Karibu kwenye 'Zila kingdom Hata kama show free (yeah) nita-perfom West side salasala is the hood that I'm from Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh) Karibu kwenye 'Zila kingdom Hata kama show free (yeah) nita-perfom West side salasala is the hood that I'm from (whoa) Thanks God round hii nipo home (eh-he, eh-eh) Karibu kwenye 'Zila kingdom Hata kama show free (yeah) nita-perfom West side salasala is the hood that I'm from (whoa) Warrup? I said, shawty in the house Lemme, lemme smoke something man Whats'up? Man I said welcome to my hood And when I step in, ya'll nigga you better step out Na-na I'm still not get it, usi-panick 'Zila in the house (whatsup?) Salasala in the house I'm glad I'm in the house Whatsup babe? Ndani ya city Yeah, ha-ha, this is my hood man Yo, Chali whatsup? Yeah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out