Lyrics

Yeah, Mwana FA (tutaelewana tu) A new proud, Baba Styles, yo (Baba Syles, yo) Sikia, sikutegemea hii (na utaipenda) Unanitega? (Ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? Unanitega? (Ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? (yo, yo) Ah, kila niendapo nawe upo uko Na kila unionapo ni vituko Sasa sema kama unataka tu ménage à trois Au kama unataka tuwe kaka na dadan (manzi) Kama nahisi midomo yako iko wet Unatamani uni-kiss unadhani mi ni mwepesi Ama mi nitakudiss come tell me niko, please Easy, mtoto niko stari hizi Wanyamwezi japo tumezaliwa TZ (TZ) Si unatangazia wenzako eti unanipenda Njoo moja kwa moja binti acha kuremba Sitakuona kicheche, kwanza uko bomba Huonekani mapepe, hawa wetu somba somba Nastukia unavotembea na zaidi ukiniangalia Ni wazi unanizimia, unapata shauri la kuniambia Mchana unaumia na usiku unalia Ukija kwangu unan'chunia, vipi unanitegea? Usiponambia ni nini unategemea? Unanitega? (ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? Unanitega? (Ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? Buenos dias mama, njoo sema Usijiudhi usiumie zaidi, njoo sema Unajipa pressure za bure, misele kichele Ka kitoto cha shule adabu za kale mbele (ah-ha) Hudhani unaweza pendwa na mimi Au uoga unashindwa, kusema una nini Usiwatume machizi wangu, naitaka kwa masikio yangu Hata ukisema hadharani, naahidi sikuoni changu (ah-ha) Dhumuni nikushushe wasi wasi Kigugumizi kujikwaa sasa basi Usigombane na sister ukadhani my boo Yote kusema unasita unajipa tabu Ukiniona unang'ata lips (a-mwah) Na macho yanayozimika (unaumwa) Mchana nambie naheshimu hisia zako Azima jamvi kabla hawajaomba wenzako (mbichi wewe) Unanitega? (Ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? Unanitega? (Ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? Mwenzako mi naogopa (Huwezi kujua inawezekana nami nakutaka, je, unaiogiopa nini?) Mwenzako mi naogopa Mwenzako mi naogopa (We vipi, kwani una miaka kumi na mbili? Mamie njoo) Jamani mi naogopa (ah, acha zako), ah, naogopa (unanitaka) Hebu tulia, step kulia Nakupa muda uongee nafasi wacha kulia Unanitega, kwa top isiyo shika mabega Na bado na imani tu utaniteka Vitendo tu kama sivioni na bado tu nakumwaga Kama lafudhi za pwani kumtafuta mtoto wa kitanga Nakupa nafasi ya kulonga unaogopa Nikiondoka nyuma unachonga unaropoka Kama maneno siyasikii kichwani hainijii, hainijii Kukaa uchi tu pekee hairidhii haivutii Usiseme na mwili sema na mimi Vituko sivizimii maneno huniteka mimi Unanitega? (Ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? Unanitega? (Ah-ah), mbona miguu iko wazi? Umenipenda? (Hebu uko) mbona kifua kiko wazi? Njoo useme You actually think I want you? (Of course) Mh-mh-mh-mh (unacheka nini?) Unalo (si una roho tu ovyo) Mh-mh-mh-mh (Pauline Zongo) Kizaa mama (umeumbika eh) (Ah, ha-ha) Miguu wazi, nimekubali Kifua wazi, nimekubali Sasa unataka niotee rangi ya cheese, una hatari, eh (Mm, wewe sikia) Miguu wazi, nimekubali Kifua wazi, nimekubali Sasa unataka niotee rangi ya cheese, una hatari, eh (Au hujasikia? Ngoja turudie tena) Miguu wazi, nimekubali Kifua wazi, nimekubali Sasa unataka niotee rangi ya cheese, una hatari, eh (ooh, ah) (Bwana we, basi bwana) (Oh, ha-ha) (Mwafurahia tu huko waone) (Alikuwa akinishika shika huyu, alafu)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out