Lyrics

ndo walivyo walimwengu ndo walivyo ndo walivyo mama oh si tufanye yetu usiogope lolote ndo walivyo mama oh hawapendi kuniona nikonawe najidaii nia yao tufalakane ndo wafurahii waja! wanakaka vikundiii watie dosalii labda wanatamani ijesiku tuishi mbaliii aa "awajui kuwa ww ndo mama mi kwa ww ndo baba×2" wanaumia umia kwapenzi letu sisi lijawatoa roho.vijiba vya huso .tunawadunga nyoyo hawapendiii mimi kuwa na wewee. awatakiiii!! kama mieleka nishashinda mikanda jonhsina kasha lala sikudanganyi kwa kimoja kibanda eti nimehenga sarasara atuekti maisha wenyewe tumelidhiana mola akipenda siku zijazo twaoana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out