Listen to Karibu (feat. Diamond Platnumz) by Mbosso

Karibu (feat. Diamond Platnumz)

Mbosso

Afro-Pop

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Composer
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Abbah
Abbah
Producer

Lyrics

(Abbah), (Ayolizer) Ishafika saba sasatunakungojea Imebaki miezi miwili tu hebu siku sogea Tuna shauku na bashasha ya kukupokea Sio mimi na mama yako tu na bibi anakuombea Mmmh! Imani yangu inanituma Unanisikia baba yoo (Baba yooyoo) Na furaha yangu dongo kumung'unya Anapobugia mama yoo (mama yoo yoo) Mmmm!, dalili wazi wazi Kwa muda usha tawakal Natamani useme zawadi Ila acha ninunue vigari Oooh kuna shangazi Kibiti kwa mzee kikali Ukiota meno ataleta viazi Ule mihogo uwe ngangari (Ule mihogo uwe ngangari) Kwanza nitakupa jina gani Talala talala lala talala Kwanza karibu duniani baba Talala talala lala talala Kwetu furaha isiyo kifani Talala talala lala talala Ila kuna mengi duniani baba Talala talala lala talala Mmmh! kwa furaha niliyonayo Ningechinja ng'ombe kwa tambiko Ila baba yako uwezo sina Pokea uji kwa kijiko Pokea mwanangu (Ai yo yo) Tena awape na habari Waropokaji wapambe We ni wangu wa halali Wasije zani vya Nyange Dunia ni mafuriko mvua kwote Wanadamu mioyo ya matope Ukitukanwa mwiko usiogope Jikaze mwana wa Dangote Ooh wasimuone Kimasomaso wasimuone Wenye jicho la chuki wasimuone mwanangu Kimasomaso wasimuone Ooh, wasimuone Kimasomaso wasimuone Wenye roho mbaya wasimuone Kimasomaso wasimuone Sa ringisha tumbo ringa, sa baby ringa Waonyeshe ringa, wadolishie ringa Sa ringisha tumbo ringa, oh baby ringa Wao si wanazitoa, asa wadolishie ringa Kwanza nitakupa jina gani Talala talala lala talala Kwanza karibu duniani baba Talala talala lala talala Kwetu furaha isiyo kifani Talala talala lala talala Ila kuna mengi duniani baba Talala talala lala talala Ndo namnyema mwanangu (Aiyoyo kwa baby shower) Ooh rafiki kwa ndugu zangu (Aiyoyo kwa baby shower) Furaha na uzazi wangu (Aiyoyo kwa baby shower) Naringa ringa na mwanangu (Aiyoyo kwa baby shower) Aiyoyo kwa baby shower Aiyoyo kwa baby shower Aiyoyo kwa baby shower Aiyoyo kwa baby shower
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Emmanuel Mkono, Mavogy, Aika Marealle Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out