Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Young Lunya
Young Lunya
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rashid Shabani
Rashid Shabani
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Paul John Makingi
Paul John Makingi
Producer

Lyrics

Poo (Simu, simu, simu, simu) Ooh My Ring! Ring! Kila saa napokea simu Zinapigwa kwa fujo mpaka mpaka napata wazimu Ring! Ring! Na zinatoka kila sehemu Nyingine za machizi na zingine za madem Ha! Cheki kodi juu ya bajeti Mwili unanukia maarafu ambayo hayaelezeki Na ukiona tunavaa mavyeni sio mavyeni feki Miwako kama tuko mamtoni kudadadeq Zinazonichanganya simu za mama zako sasa Inatoka simu ya Samatha inayoingia ni ya Natasha Watoto wa kike wananielewa vizuri haswa Maana nawawasha na wanalijua dudu washa washa Simu za leo nakula bata wapi ndo zinachosha Kuna majina yakiita unaweza simu ukaidondosha Kuna simu zikiingia huwa zinakosha Kama simu ya tajiri Abbas na ya kadogosa Ipigwe simu ya kabu pisi si pati dose Ipigwe simu ya pili afu ni ya wa waku'ball Au ipigwe simu ya mwenye nyumba alafu akukate pause Usiombe ipigwe simu ya Prestito au ya Frank Knows Yaan siku hizi simu zinaitaa (Wowoo) Siku hizi simu zinaitaa (Wowoo) Mama la mama zinaitaa (Wowoo) Wana kwa wana zinaitaa Yaan siku hizi simu zinaitaa (Crrrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrrr) Mama la mama zinaitaa (Crrrr) Wana kwa wana zinaitaa Yaan siku hizi simu zinaitaa (Crrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrr) Yaan siku hizi simu nyingi sana za kumwaga wino Siku hizi naonekana sana kama nakaa kakino Pesa tunavyozisaka ni jino kwa jino Ukiona tupo High ujue si na Cappucino Upoaji ni lazima simu ya pande Pisi zetu nazo kutwa na simu za kudanga Matapeli wanatujua na simu za kupanga Wachawi watateseka sana na simu za waganga Nishakataaga masimu za bia Nishapataga simu ya bebe unapiga inalia Nishapitiaga matukio siwezi kuhadithia Nishakuwa sipigiwi siku hizi simu zinafika hadi mia Simu za virungu huwa hazikosi Saiv zinazoita sana ni simu za mabosi Ukiona nimepata jimama, ujue jimama bosi Hapo zitapigwa simu mpaka zitoke kwenye utosi (That's True) Simu ya Diamond Simu ya Rama aisee Simu ya mwamba makini Simu ya MwanaFA Simu ya Dully ujue misifa tu niwaelezee Ubaya mimi sina simu nyingi za mapendeshee Yaan siku hizi simu zinaitaa (Wowoo) Siku hizi simu zinaitaa (Wowoo) Mama la mama zinaitaa (Wowoo) Wana kwa wana zinaitaa Yaan siku hizi simu zinaitaa (Crrrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrrr) Mama la mama zinaitaa (Crrrr) Wana kwa wana zinaitaa Yaan siku hizi simu zinaitaa (Crrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrr) Siku hizi simu zinaitaa (Crrr) (We Outchea) Siku hizi simu nyingi sana bwana Simu za bebe's(Crrrr) Simu za wana (Crrr) Lioo Ha! Simu za mambele mbele Petit Man Rasta Cappo Waliotuona local simu zao hatuzishiki (Crrrrr)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out