Lyrics

Oh my! Naifanya hii Kama sitaifanya tena kudadeki Bobo am taking Bongo rap to the next levels Mwambieni yule mtoto moto huu, haingii kamwe Kitonga atacho kipata ni wifi, duu Kwa anacho kifanya round hii hapati hata sare Maana nimeanza na Plan B Young King, flow zao za kitozi zimekataliwa Ni uchafu kama kinga zilizovaliwa Mi nataka kile kiti kilichokaliwa Sipendi mi kuchana sana babu ndo nilipozaliwa Sikia sasa mi nazisaka chapaa Nikijikita kampuni nabonga na Lamata Najichorea mistari kisha naingia chaka Nikirudi nakamata navyovipenda DJ choka Sanchoka Sina muda wa kubishana na vijana fake Ukiniona na tajiri ah basi napusha na benki Mimi na wanangu kama Samata na genki Huwezi kuleta stori za kimama mama hapa nitapoint OMG ipo, that's my dream team Future ya rap Bongo tulishahitimu Matozi bwana kujikuta mwenda wazimu Ndio unaninadai ila unanikuta nawai gym Nishaikuwa nalala studio naombea pakuche Sa hivi hamna shida ghetto mashuka meupe Mama zako wananiganda ganda kama kupe Baada ya hii session naenda zangu Zenji kula pupwe Here I come, marapper wabovu nawafyeka Ukiona babe kali hapo na mimi nimejieka Ushauri staki ujana nitawacha nikizeeka Na wala kisha nafungulia sound home theatre Mjomba comedown, relax, sitback Mi shabiki wa damu wa msimbazi simba Kwa kukinukisha nimelikalisha kimba Panya paka kafika cha kukushauri chimba Utafika mpaka ulipo, fuata pesa zilipo Piga pini pande zote Halleluyah walipo Brand kubwa filipo, sitishwi na vitisho Vina vimepangiliwa mwanzo kati na mwisho Nafanya yangu I got no fucks to give Fighting for my life to live Nipo studio we ona Waiter leta I got to leave Shida yako we ni wa kitambo, umechakata tizi Truth hurts Ngoma back to back, he is back 2Pac He is back to pack, throwing party to party Keep it black in black, kula skip on black Kuropoka na kuleta blah blah hatutaki Ndio maana nazidi kufanya, nazidi kusanya Nazidi kuhanya, nazidi kuwakanya Mna njia za panya na idea za chanya Mnaibia nikifanya, iga na hii Nikipanda chata unataka nifall Wanataka niwe kama before Hawataki nikisanua jo Mi nataka nizikamue flow Siachi mpaka wanikwarue roho Mi sinaga maluwa luwa no Ki u walahi nimeliagiza doh Sasa basi the - no, no no no No shawty, sikuposti japo it's your birthday Leo page ina mambo mengi we kuwa mpole Imma take you off for your birthday Madada wa mjini bwana usiwape gambe Utaskia hiyo ngoma yako mbona pambe? Zangu mi kuwapiga pini, you gonna come bae Juu ya beat ya Bobo ngoma kaa mbele Yeah here we go, here we go Hili dundo madawa ya kulevya, indigo Si wahuni tunafuata pesa hii ndipo Haya sasa kama unavyotuona here we go Here we ball, shpappy kama Boy speed like am fast car Preach preach like am pastor Am a superstar don't you know mfck' Bombe usiniombe tukuombee Na marapper wako mbovu mbovu usini compare Msinicompare, msijikombee Nyie maslayqueen mie si danga msinigombee, gombee Ukishindwa kutunza familia Ukirudi utakuta nobody is home Na wanaojiuza utamuuzia nani Na pengine utakuta nobody is on Sasa kwa wale wanaotaka vita Tutapigania wapi? no fighting zone Kwenye crew yangu we unamweza nani? Somi, con boy, nobody know We out here Rooftop and tea baby
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out