Lyrics

Niacheni nijivune by sabah salum Imeandikwa na baraka b mkande Niacheni nijivune huu ni wakati waangu Achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu Niacheni nijivune huu ni wakati waangu Achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu Sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu Sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu Sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu Sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Nimemshika imaraa kufurkuta hawezii Nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi Nimemshika imaraa kufurkuta hawezii Nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi Hapati la kumkeraa nampa mema malezii Hapatii la kumkera na mpa mema malezii Hapati la kumkeeraa nampa mema malezii Hapatii la kumkera na mpa mema malezii Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Ooooh hh mhhhhhh Mnanichukia buree kupendwa ni damu yanguu Mutavimba mujikeree naringa na sawa yaangu Mnanichukia buree kupendwa ni damu yanguu Mutavimba mujikeree naringa na sawa yaangu Mtakufa kwa kiheree alienipa ni Mungu Mtakufa kwa kihere alie nipa ni munguu Mtakufa kwa kiheree alienipa ni Mungu Mtakufa kwa kihere alie nipa ni munguu Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Ooooh hh mhhhhhh Pendo letu hili gumu wenyewe tunalienzii Mwataka kulihujumuu pendo life kipuuzi Pendo letu hili gumu wenyewe tunalienzii Mwataka kulihujumuu pendo life kipuuzi Bure mtajipa sumu mfe ovyo kwa simanzi Bure mta jipa sumu mfe ovyo kwa simanzi Bure mtajipa sumu mfe ovyo kwa simanzi Bure mta jipa sumu mfe ovyo kwa simanzi Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini Hey hey Chezea Zanzibar one wee Wa toto wa mc nuhu Wanamuita mariamu juma Sambamba na fatuma jaku Pamoja na mama lao Sabaha mwiichacho Aah raha hizi tamu zinapatikana Channel ya baraka b mkande Siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika Waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa Minasema kwa hakika nampenda kweli kweli Huyu anipagawisha amneirusha akili Mnaotakaniachisha hapa dili limefeli Siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika Waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa Msiopenda niwe nae mbona mnajipa dhiki Baby nitadumu nae kumbi kumbi sibanduki Tena mnichukie wallah sibabaiki Siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika Waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa Minasema kwa hakika nampenda kweli kweli Huyu anipagawisha amneirusha akili Mnaotakaniachisha hapa dili limefeli Siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika Waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa Msiopenda niwe nae mbona mnajipa dhiki Baby nitadumu nae kumbi kumbi sibanduki Tena mnichukie wallah sibabaiki Siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika Waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaaaaaaaaa
Writer(s): Baraka Mkande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out