Lyrics

Moyoni mwangu ninashukuru jina lake Bwana Na roho yangu inafurahi sababu ya pendo lake Alitupenda sisi wandamu ooh alitupenda Akamtuma Yesu mwanawe aje atuokoe Ooh Mungu Wangu Mungu wangu Bwana Wangu, Ulipenda ulimwengu Ukamtuma mwana wako, Yesu aje atukomboe Nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako Tangu sasa watu wa dunia wamshukuru Mungu Ametimiza ahadi yake kweli ametupendeza Pendo lake halina kipimo ooh alitupenda Bila shaka ametuokoa tumwimbie kwa Shangwe Mungu wangu Bwana Wangu, Ulipenda ulimwengu Ukamtuma mwana wako, Yesu aje atukomboe Nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako Mungu wangu Bwana Wangu, Ulipenda ulimwengu Ukamtuma mwana wako, Yesu aje atukomboe Nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out