Similar Songs
Lyrics
Ni ngumu kukubali iiih hali Kuwa Itapita
Mwenzangu aujali unaona shwari
Kwako kila kitu uwakika
Na ila ningependa ujue
Mwenzako mazoea yanitesa sana
Furaha ya moyo wangu ni wewe
Hukunipenda kweli Ulinidanganya
Ulitaka nikupende vipi
Nikupende vipi
Kwa marafiki ukanicheat
Kwa visa matashtiti ulikosa lipi wewe
Kumbe mapenzi usalitiii
Hata ukimpenda vipii
Kweli kisicho ridhiki Hakiliki
Aaaaaaabadan Aaaabadan
Aya
We sindo umeamua
Aya
Iwe ivii
Aya
Basi polepole utajantoa roho mwenzako
Aya
Aya
Barida poa
Aya
Aya Aya aya
Ni wewe tu unanifanya nalewa
Ni wewe tu mi bado nakuelewa
Umesema nisikupigia massage Nisikutumie
Najikaza nashindwa Ah
Ila msalimie uyo mwenzangu na mie
Alouteka Moyo wako
Nilikosa kipii hunie
Mbona wanikosesha amani
Kukupenda wee Ni mtihani
Nimepata Zeroo Ah
Chakula akiliki hunie
Mie unaniacha na nani
Ama nitoweke duniani ndo utaenjoy
Ahh moyo unauma roho inauma
Kweli inauma aaah
Na sina moyo wa chuma naumia
Naumia aah ah ah
Ulitaka nikupende vipi
Nikupende vipi
Kwa marafiki ukanicheat
Kwa visa matashtiti ulikosa lipi wewe
Kumbe mapenzi usalitiii
Hata ukimpenda vipii
Kweli kisicho ridhiki Hakiliki
Aaaaaaabadan Aaaabadan
Aya
We sindo umeamua
Aya
Iwe ivii
Aya Ayaaaaaaah
Aya Haayaaaa aya aya
Aya
Aya
Aya Aya aya
Na ila ningependa ujue
Mwenzako mazoea yanitesa sana
Furaha ya moyo wangu ni wewe
Hukunipenda kweli Ulinidanganya
Lyrics powered by www.musixmatch.com