Lyrics

Yani Bado nawaza wewe Kweli ndo unaondoka wewe Siamini unaniacha mwenyewe Mawazo kichwani kiwewe Kiipi ungesema upewe ili nibaki na wewe Si tulipanga tuwe wote daima Tukamuomba karima Penzi atulindie atutunzie Nikiona namba yako inaniliza Najua huwezi Kisikiliza Naishiwa nguvu umenimaliza Mbele sioni kimetanda Kiza Unihurumiee Unihurumie Msaraba wa mateso kuubeba siwezi umenieleme Lako penzi ndo nilo egemea Unihurumiee Unihurumie Pekeangu Siwezi Unanionea Ukweli we nilikuzoea Hata nikficha itaniumbua Wapi nishike maana unauma moyo Pongezi zake alouteka Wako Moyo Nyie mna furaha mi nakosa raha Inaumaa Machozi tiriri leo nakiri Kutengana nawe sikufikiria Kupenda tena Siwezi Rudia Nikifikiria Ninavyoumiaaa Uuuh Haya si nimekosa dawa Basi Sawaa Nikiona namba yako inaniliza Najua huwezi nisikiliza Naishiwa nguvu umenimaliza Mbele sioni kimetanda Kiza Unihurumiee Unihurumie Msaraba wa mateso kuubeba siwezi umenieleme Lako penzi ndo nilo egemea Unihurumiee Unihurumie Pekeangu Siwezi Unanionea Ukweli we nilikuzoea hata nikficha itaniumbua
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out