Listen to Mbali Nawe (feat. FAMMY TZ) by Immu Jay

Mbali Nawe (feat. FAMMY TZ)

Immu Jay

Alternative

Lyrics

Hehe Mh mh mh Oh baby Mwenzako naumwa kukupenda Oh baby Basi zidisha Kunipenda Ulikuwa ndoto yangu kumpata Naimetimia Hivi sasa Ona nanenepa natakata Ooh Ona pekeangu unanifariji Ndani pekeangu nafaidi Basi linda Penzi langu Magaidi Wasiingie mahasidi Kwanza Akili na Mwili You Feel Me Tubaki wawili Nakiri Unanipenda Me Aaah aaah aaaaah Mmmh mmmh mmmh Ah Bila wewe mbali nawe siwezi Ushanikamata kamata Nimetosha kwa kiganja Ah Bila wewe Mbali nawe siwezi Ushanikamata kamata Nimetosha kwa kiganja Aya ayaaa! Lalalalaaaa! Oh Baridi Basi nikumbate nikumbate Nakukabidhi Moyo Wangu usiuchape usiuchape Heee Nishateswa sana na mapenzi Basi natakata unienzi Moyo usiupige kitanzi utaniumizaaaah Oh hapana Bila wewe siwezi Naomba kwa rabbana aaah Anilindie mupenzi Kwanza Akili na Mwili You Feel Me Tubaki wawili Nakiri Unanipenda Me Aaah aaah aaaaah Mmmh mmmh mmmh Ah Bila wewe Mbali nawe siwezi Ushanikamata kamata Nimetosha kwa kiganja Ah Bila wewe Mbali nawe siwezi Ushanikamata kamata Nimetosha kwa kiganja Nishatosha kwa Kiganja aaah Na ImmuTena Kwanza Akili na Mwili You Feel Me Tubaki wawili Nakiri Unanipenda Me
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out