Lyrics

Ndo kusema nina bahati Mbaya Mbaya aaah Yale yote mema umeyageuza mabaya hayaa Mwenzako bado Mi naugua Ugonjwa wa mapenzi unanisumbua Sambona Moyo Wangu usugua Ona Naishi kwa tabu eeeh Najitahidi Anitoke Nisimmiss Hata machozi yakitoka nisihisi Ndo inamaana kalivunja Ibirisi Kunipenda haiwezekani Haiwezekanii Oooh Ooh Oooh Ah! Angenambia Kama anipendi Anitaki Tena mimi Bora Angenambia Kuliko kunifanya Niugue mapenzi mimi Basi Angenambia Leo anipendi Anitaki kuniona Bora Angenambia Nimekubali kufuta namba Zako Nimekubali kufuta Picha Zako Nimekubali Naondoka mimi Kwako Haina Haja Inamaana zile ndoto zimepoteaga Unafanya mi nijute kukupendaga Na hata ivyo kuna muda nakukumbukaga Na umefanya Nichukie Mapenzi Kwenye kina cha bahari Kwanini Nilizamazamaa Mapema ningejua ningejitoa mapema aah Nisingebaki Mwenyewe Najitahidi Anitoke Nisimmiss Hata machozi yakitoka nisihisi Ndo inamaana kalivunja Ibirisi Kunipenda haiwezekani Haiwezekanii Oooh Ooh Oooh Ah! Angenambia Angenambia eeeh eeh eeeh Bora Angenambia Basi Angenambia huenda mi aaah ningemsikia Ah! Angenambia Kuliko Manyanyaso shidaa Bora Angenambia Kwenye kina cha bahari Kwanini Nilizamazamaa Mapema ningejua ningejitoa mapema aah Nisingebaki Mwenyewe Bora Angenambia
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out