Lyrics

yeah napiga goti natubu kwa mungu wangu na jamii nimefanya mambo mengi kwa kutumia cheo naamini cheo dhamana nisamehe nisamehe nang'atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii mwenyeenzi kumbuka na nafsi hii napiga goti natubu daima nitakusihi nang'atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania mambo niliyoyafanya hayapaswi kusimuliwa tangu nilipoomba kura kwenye ndio mzee mkanipa na kusababsha uchumi ulegee kura zikawa kula nikaishi kwa mlungula taratubu nikaanza kubadili mfumo na sura nasisitiza sana masuala ya ajira kumbe uongo nikaanza kugawa vyeo kwa hila hata mashori wangu niliweka mataahira na kusababsha uongozi wangu upoteze dira
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out