Listen to Subiri Kwanza (feat. Stamina) by Nacha

Subiri Kwanza (feat. Stamina)

Nacha

Hip-Hop/Rap

Lyrics

G que on another wan Asaa n vp ni hit bila babu Akat flan ana kiki Ngoma bigGee ni ajabu Muzki una tabu Ya Muusaa ya maajabu Marapa mnaochana rula Mkatumike kwny hesabu Muzki umejaa mzgo unarapu kama nanii Maana huyoo nanii mwny redion hatumckii Chek braza jmoe Mzee wa mvua na jua Cyo bishoo ila anadab na anatusua Oky Nimekumbk kuna story za unafki Znavumajoh makini anaandikiwa na Nicki Mm siafk kiba kujiita King Akat King ninayemjua mm ni KingKiki Wanaosema HipHop hailip hzo story za uongo Kuna Marapa hawalp so dgo fungua ubongo Acha masihara usikae kusubr KiKi Hakuna mziki wa biashara fanya biashara ya mzk Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza umejipanga Au unataka uje tu na irizi Yako ya mganga Tatizo lenu nyie madogo mnajisahau Ukitoa ngoma moja unahis umepanda dau Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujipange Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujichange Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujipange Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujichange Na vip kuhusu nay na madee Nasikia wote Marais kuna Nchi ya namna hii Na mungu anatenda miujiza nuksi Wasanii wa bongo bhana Weupeeeeee wazazi weus Hata uchane ka 2pac bila heshima Kaz Bure Ka kichwan hauko smart dogo bora urud Shule Kuhusu swala la unga Nadhan mifano unaijua Chondechonde kula wa Ugali huo mwingine utakuuwa Sitoroga nivume nipate hela C mnajua Nacha muslam cio Christian Bella Ntalegeza om nisilale giza Maana nikikaza ala za roho Ntabakidiva Kuhusu story za kuroga Kiukwel cna uhakika Ulimwona Nan au gazet liliandika Uckariri nyimbo kuhit iwe inachezeka Je vikongwe na vilema kund gan utawaweka???? Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza umejipanga Au unataka uje tu na irizi Yako ya mganga Tatizo lenu nyie madogo mnajisahau Ukitoa ngoma moja unahis umepanda dau Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujipange Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujichange Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujipange Nataka kuingia kwenye game Subir kwanza ujichange Nataka kuingia ili niwanase wakina Huda Maana nasikia ukihit wao wenyewe tu wanakuja Cjui Mara flan me mdananda Ukitaka uzoefu wa kufugwa muulize Nuhu Mziwanda Iv brother kwanza dem wako nan Cna dem nina mke nimemwacha nyumban Bila KiKi za wasichana mpaka leo nipo Bomba So waambie watoto wa mama Stamina ni saut ya mjomba
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out