Listen to Wife by Daz Baba feat. Mangwair

Wife

Hip-Hop/Rap

Lyrics

Daz baba nishakuwa mtu mzma mi Sasa nahitaji mrembo wakuishi nami Kuzaa na kulea watoto nami Kwenye shida na raha avumilie nami Basi nifanyie kama barua Nsababisha nijaribu kujiua Anipe mapenzi nimpe mapenzi Nae hayaenzi asinifanyie usheeenzi Nafurahi nikimpata Mwenye sifa zote ninazotaka Kiuno anajua kukata Mpaka mi nashindwa kumuacha ()
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out