Lyrics

Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) After mboka sato nilidoze njaa nikitafuna mogoka Sina hata mbota kibro Jiulize niaje yout amesota Bitch maker alibonda Siku hizi naflow nikiandika na echo ya itoka Ona sasa oga ametoka Naija Akakuja Kanairo kuthokoma Msape ni nani? Walishateam up hadi ganji wanaosha Mtape ni askari atakushika just for nothing Akuitishe sota, akuitishe stoner Alafu OB uandike haukuwa sober Anyway soldier ako in the war Big up army kulinda border Momo alitokwa horror Siku hizi mi huzoza na wa ocha Lodwar Back to mattress from Baroda Wanataka wakidecode wakora Mocha imechrome dead bodies Ngong' Lang'ata imeshona Mangata iliponwa Plus Redcross haisaidii mastoner In case haujajua, tuko Nigeria Githare High ile mbaya usitense high grade kiwake ah Mi ndo ule chizi unaskianga ako kwa hio market ah Karao alinibamba raia wakadai muache ah Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) Seti mnati (ah ah) Burn it mbele ya warazi (sh sh sh sh) Ukame ukame ukame Wameraid zabe sai hana mali Inanikumbusha Soviet farming Dry spell realer siwezi piga farming Man dem driller, man dem killer Goat nikikuna nazi Vitisho mbali mchezo hatutaki Si ndio machizi kaa mbali Hatuogopi mnafiki bloody Shida ni ka utanistainia shati Hatutoboki traffic mlazi huyu mblein Juu ameona tuko na ndechu mbathi Nilimburn kafati, kumuinitiate kwa fagi mtoto wa kibarbie Si uliambiwa ukate riba zangu na wazazi ah Huyu boy nikiwa mdogo Nilikua nazungusha mamanzi wabiggy kwa party Tunanukia vyombo fresh From kuoga na kipande kwani Ye ako malotion marashi Ati mara anawasuka na kilami Yout alitokwa ah, naskia sai anakumbanga Aramis Hapo hauwezi ekwa, venye inakam ndo venye unaenda Ukimblein pia utachekwa, tukunyime fare urudi kalesa Unajiona magera na hata hujabeba Ati we ni kadera na haujui kuendesha ah
Writer(s): Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out