Lyrics

Yoh yoh yoh yoh Rong Rende Tundura mambleina ama? Zozanation yoh Man a driller uh Cheki turn me up turn me up man yoh Carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura Eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa Naskia imekaribia kura Hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa Carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura Eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa Naskia imekaribia kura Hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa Tupate juu ya ndom na Chrome In short tuko in high spirits Wanakuadore sana mto Mpaka wanawish mngekuja wawili Si ni mahome grown ata kwa TV si uona KBC Kuna siku nimeuliza Alexa kama anajua Siri akasema zii Eeehhh yoh deal ikiivana seal it Drink ilitepwa master aliekwa chini na Guinness mbili Mgema alinena usienda na mrenga bigi kushinda Harrier Mugithi Hatunanga kichana nywele tunaziachilianga chini kama Mungiki Naona marithe zitakua cheap Biden akikalia hio seat Ngithe zihupigwa key kesho yake unaskia vault iko nill System si hupiga B zabe tunachill na squad ya D Mandem hivo ndio alijua kuwapin kwa street Uko na gun na hauna badge... Aje? Tuko club liquor imerun tuko stranded yoh Wapi mshande? Yout wamange End month na haijakam, watu washandwe Carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura Eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa Naskia imekaribia kura Hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa Carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura Eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa Naskia imekaribia kura Hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa Ma reunion zetu, si hupatananga tukienda ingata Stone yangu ya kwanza, mi hukumbuka nikiichukulia Biafra Magava hawakunibamba niliuliza nganya nikaingia Angasa Inaitwa Uber diving na sibongi sana otherwise nitakuwa vulgar Mode alimwambia ye huwa hashiki kitu ye hushika tu mkia Kufika 16 hakuwai shika P2 alishika tu mimba Amina ye huaminia adi anageuza teacher mjinga Alianza kutupima akakua politician sai amegeuka killer System system sai hadi Lion akapatiwa ganji anadiste Niite Kite ka uko na key tusanif hizo bangi tuive Mdihe alinichuja kufika mtiecha me hupata mndila alifunga Mndila alifunga kufika mesti nimeiva mdihe akanichuja Uko na gun na hauna badge... Aje? Tuko club liquor imerun tuko stranded Wapi mshande? Yout wamange End month na haijakam Carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura Eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa Naskia imekaribia kura Hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa Carol alipurura akakula karo na akadai tulimtundura Eastlando kwa hizo maclub madingo wasmart wanakunywa kwa chupa Naskia imekaribia kura Hawakuunda baro miaka tano sai wanaturushia mfupa Fuk it
Writer(s): Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out